Wayback Machine
Mandhari
Wayback Machine ni tovuti ambayo inatunza kurasa za tovuti za zamani. Inaruhusu kuangalia tovuti ambazo haziko tena au kuangalia maudhui ambayo yamebadilishwa tayari.
Tovuti hiyo hutumia programu za crawler zinazopitia intaneti mara kwa mara na kufanya nakalA za tovuti zinazohifadhiwa kwenye seva ya Wayback Machine. Haitunzi tovuti zote wala mabadiliko yote.
Wayback Machine ilianzishwa mnamo Oktoba 2001 kama sehemu ya Internet Archive ikipatikana kupitia anwani yake.[1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Internet Archive launches WayBack Machine". Online Burma Library. 2001-10-25. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-24. Iliwekwa mnamo 2016-03-13.
- ↑ "The Internet Archive: Building an 'Internet Library'". Internet Archive. 2001-11-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 30, 2001. Iliwekwa mnamo 2016-03-14.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)