iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: https://sw.wikipedia.org/wiki/Uwanja_wa_michezo_wa_Lobatse
Uwanja wa michezo wa Lobatse - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Lobatse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Lobatse ni uwanja wa matumizi mbalimbali za kimichezo huko Lobatse, nchini Botswana.Hutumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Extension Gunners. Uwanja huo una uwezo wa kustahimili watu 20,000.Kulikuwa na ujenzi wa maendeleo ya uwanja huo huko Lobatse ambao ulitarajiwa kufanywa mwishoni mwa mwaka 2010.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Lobatse kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.