iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: https://sw.wikipedia.org/wiki/Tembo_chumbani
Tembo chumbani - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Tembo chumbani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhalisia wa msemo wa Tembo chumbani akihudhuria karamu ya chai huko Sydney mnamo mwaka 1939. Kifumbo, msemo wa Tembo chumbani unamaanisha uwepo wa tatizo dhahiri au hali ngumu ambayo watu hawataki kuizungumzia. [1]

Tembo chumbani (au tembo sebuleni) [2] [3] ni msemo au nahau ya kisitiari katika lugha ya Kiingereza kwa mada muhimu au kubwa, swali, au suala lenye utata ambalo liko wazi au ambalo kila mtu analijua lakini hakuna anayelitaja au anayetaka kulijadili kwa sababu linaweza kusababisha baadhi yao kukosa raha na linatia aibu kibinafsi, kijamii, au kisiasa, lenye utata, uchochezi, au hatari. Tembo wa sitiari anawakilisha tatizo dhahiri au hali ngumu ambayo watu hawataki kuizungumzia. [4][5] [6]

  1. Anon (2023). "An elephant in the room: idiom, informal". cambridge.org. Cambridge University Press.
  2. "the elephant in the (living) room | meaning of the elephant in the (living) room in Longman Dictionary of Contemporary English | LDOCE". www.ldoceonline.com. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "World Wide Words: Elephant in the room". World Wide Words (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. https://dictionary.cambridge.org/dictionary/english/elephant-in-the-room
  5. Cambridge University Press. (2009). Cambridge academic content dictionary, p. 298.
  6. "Elephant in the room Idiom Definition – Grammarist". Grammarist. 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tembo chumbani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.