iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: https://sw.wikipedia.org/wiki/Stanislaus_Kostka
Stanislaus Kostka - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Stanislaus Kostka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Stanislaus.

Stanislaus Kostka (Rostkowo, leo nchini Polandi, 28 Oktoba 1550Roma, Italia, 15 Agosti 1568[1]) alikuwa kijana mnovisi katika shirika la Wajesuiti.

Ili kujiunga nalo alitoroka nyumbani na kwenda kwa miguu hadi Roma, alipopokewa na Fransisko Borja. Aliwahi kufariki dunia kutokana na uchovu katika kutoa huduma duni zaidi[2].

Tarehe 9 Oktoba 1605 alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri, halafu tarehe 31 Desemba 1726 akatangazwa na Papa Benedikto XIII kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Agosti kila mwaka[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "MESSAGE OF THE HOLY FATHER FRANCIS FOR THE 450TH ANNIVERSARY OF THE DEATH OF SAINT STANISLAUS KOSTKA". Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/66200
  3. Martyrologium Romanum
  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.