Papa Klementi VI
Mandhari
Papa Klementi VI (takriban 1291 – 6 Desemba 1352) alikuwa Papa kuanzia tarehe 7/19 Mei 1342 hadi kifo chake[1]. Alitokea Maumont, Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre Roger.
Alimfuata Papa Benedikto XII akiwa Papa wa nne aliyetawala kutoka mji wa Avignon (leo nchini Ufaransa) akafuatwa na Papa Innocent VI.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |