P
Mandhari
Alfabeti ya Kilatini | |||||
---|---|---|---|---|---|
Aa | Bb | Cc | Dd | ||
Ee | Ff | Gg | Hh | Ii | Jj |
Kk | Ll | Mm | Nn | Oo | Pp |
Rr | Ss | Tt | Uu | Vv | |
Ww | Xx | Yy | Zz | ||
(Kwa matumizi ya Kiswahili) | |||||
ch | dh | gh | kh | ||
mb | mv | nd | ng | ng' | nj |
ny | nz | sh | th |
P ni herufi ya 16 katika katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Pai ya alfabeti ya Kigiriki.
Maana za P
[hariri | hariri chanzo]- Kati ya vipimo sanifu vya kimataifa P ni alama ya Kelvini (kiwango cha halijoto)
- Katika Kemia P ni alama ya elementi ya Posferi
- Katika Fizikia P ni alama ya protoni
- Kwenye gari P ni alama ya kimataifa kwa magari kutoka Ureno (=Portugal)
Historia ya alama P
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu P kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |