Moderaterna
Mandhari
Moderata samlingspartiet (au kwa kifupi "Moderaterna") ni chama cha siasa nchini Uswidi.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Chama cha Moderaterna kilianzishwa mwaka wa 1904 chini ya jina "Allmänna valmansförbundet".
Waziri wakuu kutoka Moderaterna
[hariri | hariri chanzo]- Christian Lundeberg (1905)
- Arvid Lindman (1906-1911, 1928-1930)
- Hjalmar Hammarskjöld (1914-1917)
- Carl Swartz (1917)
- Ernst Trygger (1923-1924)
- Carl Bildt (1991-1994)
- Fredrik Reinfeldt (2006-)
Asilimia za Moderaterna katika kura ya kitaifa ya Uswidi
[hariri | hariri chanzo]
Itikadi
[hariri | hariri chanzo]Moderaterna husogeza siasa ya uchumi wa soko na ubepari.