iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa_wa_Denizli
Mkoa wa Denizli - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Denizli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Denizli
Maeneo ya Mkoa wa Denizli nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Aegean
Eneo: 11,868 (km²)
Idadi ya Wakazi 907,558 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 20
Kodi ya eneo: 0258
Tovuti ya Gavana http://www.denizli.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/denizli


Denizli ni moja kati ya Mikoa ya Uturuki uliopo mjini magharibi mwa Anatolia, nyanda za juu katika pwani ya Bahari ya Aegean. Mikoa ya karibu kabisa na mjini hapa ni pamoja na Uşak kwa upande wa kaskazini, Burdur, Isparta, Afyon kwa upande wa mashariki, Aydın, Manisa kwa upande wa magharibi na Muğla kwa upande wa kusini. Mji upo kati ya ramani hizi za kijiografia 28° 30’ na 29° 30’ E na 37° 12’ na 38° 12’ N. Unachukua eneo za kilomita za mraba zipatazo 11,868, na idadi ya wakazi wapatao 882,938. Hapo awali idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 750,882 kunako miaka ya 1990. Mji mkuu wake ni Denizli.

Wilaya za mkoani hapa

[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Denizli umeganyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: