Mkoa wa Copperbelt
Mandhari
Mkoa wa Copperbelt ni moja ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,581,221 kwenye eneo la 31,328 km². Mji mkuu ni Ndola.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji mikubwa ni pamoja na Kitwe na Chingola.
Luswishi na Kafue ni mito muhimu zaidi.
Picha za Copperbelt
[hariri | hariri chanzo]-
Mto Kafue
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Copperbelt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | |
+/- |