Kimanyika
Mandhari
Kimanyika ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe na Msumbiji inayozungumzwa na Wamanyika. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimanyika nchini Zimbabwe imehesabiwa kuwa watu 861,000. Pia kuna wasemaji 164,000 nchini Msumbiji. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimanyika iko katika kundi la S10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimanyika kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimanyika Archived 7 Julai 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimanyika katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mxc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimanyika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |