iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: https://sw.wikipedia.org/wiki/Kikrumen-Pye
Kikrumen-Pye - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kikrumen-Pye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikrumen-Pye ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wakrumen. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikrumen-Pye imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrumen-Pye iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikrumen-Pye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.