iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: https://sw.wikipedia.org/wiki/Emilie_Autumn
Emilie Autumn - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Emilie Autumn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emilie Autumn

Emilie Autumn Liddell[1] (anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Emilie Autumn; alizaliwa Septemba 22, 1979) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo, mshairi, mwandishi na mpiga gitaa wa nchini Marekani.

Mtindo wa muziki wa Autumn unaelezewa ni kama "Fairy Pop", "Fantasy Rock" au "Victoriandustrial".[2][3]

  1. Autumn, Emilie (Aprili 5, 2010). "There have been questions..." Twitter. Iliwekwa mnamo Februari 2, 2011. There have been questions about my legal name for some reason lately – It's in the book. Emilie Autumn Liddell.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Stanborough, Denise (Aprili 2010). "Emilie Autumn". Bizarre Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Juni 2010. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Weekend Hotlist", Pittsburgh Post-Gazette, December 3, 2009. Retrieved on 2022-02-26. Archived from the original on 2010-08-18. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emilie Autumn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.