Dani Alves
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Brazil, Hispania |
Nchi anayoitumikia | Brazil |
Jina la kuzaliwa | Daniel |
Jina halisi | Daniel |
Jina la familia | Alves |
Nickname | Dani Alves |
Tarehe ya kuzaliwa | 6 Mei 1983 |
Mahali alipozaliwa | Juazeiro |
Lugha ya asili | Brazilian Portuguese |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania, Kireno, Brazilian Portuguese, Kiingereza |
Place of detention | Centre Penitenciari Brians 2, Centro penitenciario Brians 1 |
Convicted of | Ubakaji |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | full-back, Beki |
Muda wa kazi | 11 Novemba 1980 |
Work period (end) | 20 Januari 2023 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2014 FIFA World Cup, Kombe la Dunia la FIFA 2010, FIFA kombe la shirikisho la Mabara 2009, 2019 Copa América, football at the 2020 Summer Olympics – men's tournament |
Tukio muhimu | Caso Daniel Alves |
Tovuti | http://www.danialves.com/ |
Dani Alves (alizaliwa Juazeiro, mji wa Brazili, 6 Mei 1983) ni mchezaji wa soka, Taifa lake ni Brazili.
Alicheza beki wa kushoto katika klabu ya Sao Paolo na kwa timu ya taifa ya Brazili.
Kabla ya kucheza Barcellona ndani 2008 alves alishawahi kuichezea Sevilla na kuchukua makombe mawili UEFA cap na Copa de rey na alisajiliwa Bacelona ka £32.5 millioni na akiwa hapo alicheza makombe mawili ya Super copa Espana na FIFA ya klabu na kombe la dunia na misimu (5) ya laliga pia alicheza UEFA Championi ligi mara mbili ndani ya 12 Julai 2017 alienda kujiunga na Paris Saint-Germain na kusaini mkataba wa miaka (2).
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dani Alves kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |