Bixente Lizarazu
Mandhari
Bixente Lizarazu
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufaransa |
Jina katika lugha mama | Bixente Lizarazu |
Jina la kuzaliwa | Bixente (Vincent) Jean-Michel Lizarazu |
Jina halisi | Bixente |
Jina la familia | Lizarazu |
Tarehe ya kuzaliwa | 9 Desemba 1969 |
Mahali alipozaliwa | Saint-Jean-de-Luz |
Ndugu | Peyo Lizarazu |
Mwenzi | Claire Keim |
Mchumba | Claire Keim |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kifaransa |
Kazi | association football player, radio personality, sports commentator, skeleton racer |
Mwajiri | RTL |
Nafasi anayocheza kwenye timu | fullback |
Muda wa kazi | 1988 |
Work period (end) | 2006 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Footedness | left-footedness |
Partner in business or sport | Grégoire Margotton |
Ameshiriki | 2002 FIFA World Cup, 1998 FIFA World Cup, UEFA Euro 2004, UEFA Euro 1996, UEFA Euro 2000 |
Ligi | Bundesliga |
Tuzo iliyopokelewa | Knight of the Legion of Honour |
Bixente Lizarazu (matamshi ya Kieuskara: biˈʃente liˈs̪araˌs̪u; alizaliwa 9 Desemba 1969) ni mshambuliaji mstaafu wa Ufaransa mwenye asili ya Wabaski ambaye alicheza Bordeaux na Bayern Munich, pamoja na timu nyingine za mpira wa miguu.[1]
Katika kazi ya kimataifa ya miaka kumi na miwili tangu mwaka wa 1992 hadi 2004, Lizarazu alicheza michuano ya Ulaya na vikombe viwili vya Ufaransa, kushinda Kombe la Dunia 1998 na Euro 2000.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bixente Lizarazu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Bixente Lizarzu: "Je suis un vrai Basque"", L'Obs, 20 Julai 2018. (fr)