Antonio Rosmini
Mandhari
Antonio Francesco Davide Ambrogio Rosmini-Serbati (Rovereto, 25 Machi 1797 - Stresa, 1 Julai 1855) alikuwa padri na mwanafalsafa wa Italia aliyejihusisha na uhuru na umoja wa nchi yake.
Alianzisha shirika la Upendo (Warosmini[1]).
Baada ya falsafa yake kupingwa muda mrefu, tarehe 18 Novemba 2007 alitangazwa mwenye heri kwa mamlaka ya Papa Benedikto XVI.
Maandishi
[hariri | hariri chanzo]Yaliyo muhimu zaidi ni:
- The origin of ideas. Ilitafsiriwa na anonymous (tol. la Translated from the 5th Italian). London: Keegan Paul, Trench. 1883. OCLC 818116370.
- The Principles of Moral Science (1831)
- The Restoration of Philosophy in Italy (1836)
- The Philosophy of Right (1841–45)
The following have also been translated into English:
- The constitution under social justice. Ilitafsiriwa na Alberto Mingardi. Lexington Books. 2006.
- A Catholic catechism. Ilitafsiriwa na William Seth Agar. 1849.
- Liddon, Henry P., mhr. (1883). Of the five wounds of the Holy Church (tol. la abridged).
- Maxims of Christian perfection. Ilitafsiriwa na anonymous. London: Richardson. 1849.
- 'Psychology (Anonymous) (1884–88)
- A short sketch of modern philosophies and of his own system. Ilitafsiriwa na William Lockhart. London: Burns and Oates. 1882. OCLC 551258110.
- The ruling principle of method applied to education. Ilitafsiriwa na Maria Georgina Grey. Boston: D.C. Heath. 1887. OCLC 769155902.
- Letters. Ilitafsiriwa na Dominic Gazzola. London [u.a.]: Washbourne [u.a.] 1901.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cormack, George, and Daniel Hickey. "Rosmini and Rosminianism." The Catholic Encyclopedia Vol. 13. New York: Robert Appleton Company, 1912. 15 November 2016.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Cleary, Denis. Zalta, Edward N. (mhr.). "Antonio Rosmini". The Stanford Encyclopedia of Philosophy (tol. la Winter 2008).
- Cormack, George (1912). "Rosmini and Rosminianism". In Herbermann, Charles. Catholic Encyclopedia. 13. Robert Appleton Company.
- Davidson, Thomas (1882). The philosophical system of Antonio Rosmini-Serbati. London: Kegan Paul, Trench. OCLC 644511833. Includes a biographical sketch and bibliography.
- MacWalter, Gabriel S., mhr. (1883). Life of Antonio Rosmini-Serbati. Juz. la 1. London: Kegan Paul, Trench. OCLC 613110882.
- Lockhart, William S., mhr. (1886). Life of Antonio Rosmini-Serbati. Juz. la 2. London: Kegan Paul, Trench. OCLC 902993060.
- The life of Antonio Rosmini-Serbati. Ilitafsiriwa na Giambattista Pagani. London: G. Routledge. 1907. OCLC 701254451.
- "Church reformation in Italy". Edinburgh review. 114 (231): 233–268. Julai 1861. ISSN 1751-8482.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Official website
- (Kiitalia) Official website
- [1] Website about beatification ceremony
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |