iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: http://sw.wikipedia.org/wiki/Ziwa_Kachera
Ziwa Kachera - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Kachera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Kachera (piaː Kachira, Kachra) ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Mbarara.

Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 36.88.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]