This Is Me... Then
Mandhari
This Is Me... Then | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya This Is Me... Then
|
|||||
Studio album ya Jennifer Lopez | |||||
Imetolewa | 19 Novemba 2002 | ||||
Imerekodiwa | Machi - 17 Oktoba 2002 | ||||
Aina | Pop, R&B | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Epic | ||||
Mtayarishaji | Cory Rooney (also executive), Troy Oliver, Dan Shea, Poke & Tone, Davy Deluge, Ron G, Dave McPherson, Rich Shelton, Kevin Veney, Loren Hill, Reggie Hamlet, Bernard "Focus..." Edwards, Jr. | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Jennifer Lopez | |||||
|
|||||
Kava lingine | |||||
UK bonus-disc edition cover UK bonus-disc edition cover |
|||||
Single za kutoka katika albamu ya This Is Me... Then | |||||
This Is Me... Then ni albamu ya tatu kutoka kwa mwimbaji Jennifer Lopez, iliyotolewa mnamo Novemba 2002. Albamu hii ilikuwa namba sita kwenye chati ya Billboard 200 na iliuza zaidi ya nakala 314,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[1] Ilibaki kwenye top 20 kwa muda ya wiki 12 na kwenye chati kwa muda ya wiki 37. Imeuza zaidi ya nakala milioni 2.5 nchini Marekani[2] na zaidi ya nakala milioni sita kote duniani.[3]
Albamu hii ilitoa singles nne: "Jenny from the Block", "All I Have", "I'm Glad" and "Baby I Love U!".
Nyimbo zake
[hariri | hariri chanzo]# | Jina | Mtunzi (wa) | Producer(s) | Urefu |
---|---|---|---|---|
1. | "Still" | Casey James, Leroy Bell, Loren Hill, Rich Shelton, Kevin Veney, Leonard Huggins | Cory Rooney, Loren Hill, Rich Shelton, Kevin Veney | 3:40 |
2. | "Loving You" | Rooney, Michael Garvin, Troy Oliver, James Mtume, Tom C. Shapiro | Cory Rooney, Troy Oliver | 3:45* |
3. | "I'm Glad" | Rooney, Oliver, Andre Deyo, J.B. Weaver, Jr. | Cory Rooney, Troy Oliver | 3:42 |
4. | "The One" | Linda Creed, Rooney, Thom Bell, Davy Deluge | Cory Rooney, Dan Shea, Davy Deluge | 3:36 |
5. | "Dear Ben" | Rooney, Bernard Edwards Jr. | Cory Rooney, Focus... | 3:14 |
6. | "All I Have" (featuring LL Cool J) | Curtis Richardson, Ron G, Lisa Peters, William Jeffrey, Makeba Riddick | Cory Rooney, Ron G, Dave McPherson | 4:14 |
7. | "Jenny from the Block" (featuring Styles and Jadakiss) | Samuel Barnes, Jean-Claude Olivier, Oliver, Deyo, Scott Sterling, M. Oliver, Fernando Arbex, Lawrence Parker | Poke & Tone, Cory Rooney, Troy Oliver | 3:08 |
8. | "Again" | Rooney, Oliver, Reggie Hamlet | Cory Rooney, Troy Oliver, Reggie Hamlet | 5:47 |
9. | "You Belong to Me" | Carly Simon, Michael McDonald | Cory Rooney, Dan Shea | 3:30* |
10. | "I've Been Thinkin'" | Rooney, Shea | Cory Rooney, Dan Shea | 4:41 |
11. | "Baby I ♥ U!" | John Barry, Rooney, Shea | Cory Rooney, Dan Shea | 4:43 |
12. | "The One (Version 2)" | 3:31 |
Toleo la Ulaya na Mexico
[hariri | hariri chanzo]- "I'm Gonna Be Alright" (Track Masters Remix featuring Nas) (Lopez, Oliver, Rooney, Barnes, Olivier, Cheryl Lorraine Cook, Ronald LaPread) – 2:52
Toleo la Brazil
[hariri | hariri chanzo]- "Jenny from the Block" (Album Version Without Rap) – 2:49
Toleo la Uingereza
[hariri | hariri chanzo]Released on 22 Machi 2004
- "I'm Gonna Be Alright" (Track Masters Remix featuring Nas) – 2:52
Toleo la ziada
[hariri | hariri chanzo]- "Jenny from the Block" (Seismic Crew's Latin Disco Trip) – 6:41
- "All I Have" (Ignorants Mix featuring LL Cool J) – 4:03
- "I'm Glad" (Paul Oakenfold Perfecto Remix) – 5:47
- "The One" (Bastone & Burnz Club Mix) – 7:40
- "Baby I Love U!" (R. Kelly Remix) – 4:11
Chati
[hariri | hariri chanzo]
|
|
Thibitisho
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Anayetoa | Thibitisho | Mauzo |
---|---|---|---|
Australia | ARIA | Platinum[12] | 70,000 |
Austria | IFPI | Gold[13] | 10,000 |
Ubelgiji | Gold[14] | 15,000 | |
Canada | CRIA | 2× platinum[15] | 200,000 |
Ulaya | IFPI | Platinum[16] | 1,000,000 |
Finland | Gold[17] | 19,998 | |
Ufaransa | SNEP | 2× gold[18] | 320,000[19] |
Ujerumani | IFPI | Gold[20] | 100,000 |
Hungary | Mahasz | Gold[21] | 3,000 |
Netherlands | NVPI | Gold | 30,000 |
New Zealand | RIANZ | Gold[22] | 7,500 |
Portugal | AFP | Gold[23] | 10,000 |
Sweden | IFPI | Gold[24] | 20,000 |
Uswizi | Platinum[25] | 40,000 | |
Uingereza | BPI | Platinum[26] | 300,000 |
Marekani | RIAA | 2× platinum[27] | 2,500,000 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martens, Todd (4 Desemba 2002). "Twain Remains 'Up' Top On Billboard Chart". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-23. Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
- ↑ Cohen, Jonathan (1 Februari 2005). "Lopez Gearing Up For March 'Rebirth'". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-14. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
- ↑ "Jennifer Lopez – Sony BMG Denmark – Officiel engelsk biografi". Sony BMG Denmark. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-22. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
- ↑ "This Is Me... Then > Charts & Awards > Billboard Albums". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-11-16.
- ↑ "Jennifer Lopez – This Is Me...Then – swisscharts.com". SwissCharts.com. Iliwekwa mnamo 2008-11-16.
- ↑ "Jennifer Lopez – This Is Me...then – Music Charts". αCharts.us. Iliwekwa mnamo 2008-11-16.
- ↑ "European Top 20 Albums Chart – Week Commencing 9th Desemba 2002" (PDF). Music & Media. Iliwekwa mnamo 2008-11-17.
- ↑ "Musicline.de – Jennifer Lopez – This Is Me...then". Musicline.de (kwa German). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-19. Iliwekwa mnamo 2008-11-16.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "This Is Me... Then – Oricon". Oricon (kwa Japanese). Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Top 40 album- és válogatáslemez-lista – 2003. 2. hét". Mahasz (kwa Hungarian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-12. Iliwekwa mnamo 2008-11-16.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Oficjalna lista sprzedaży – 13 Januari 2003". OLiS. Iliwekwa mnamo 2008-11-28.
- ↑ "ARIA Charts – Accreditations – 2002 Albums". ARIA. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
- ↑ "IFPI Austria – Gold & Platin Datenbank". IFPI (kwa German). 7 Januari 2003. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Ultratop – Goud en platina – Albums – 2002". Ultratop (kwa Dutch). 7 Desemba 2002. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "CRIA: Gold & Platinum – Machi 2006". CRIA. 22 Machi 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-07. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
- ↑ "IFPI Platinum Europe Awards – 2002". IFPI. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-20. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
- ↑ "IFPI Finland – Jennifer Lopez". IFPI (kwa Finnish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-20. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Certifications Albums Double Or – année 2003". SNEP (kwa French). 2 Februari 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-22. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Parcours Album". Fan Of Music (kwa French). Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Gold/Platin-Datenbank". Bundesverband Musikindustrie (kwa German). Iliwekwa mnamo 2008-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "MAHASZ – Adatbázis – 2003". Mahasz (kwa Hungarian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-27. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "New Zealand Top 50 Albums (see "Chart #1341 – Sunday 19 Januari 2003")". RIANZ. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help) - ↑ "Top 30 Artistas – Semana 11 de 2003". AFP (kwa Portuguese). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-03. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "IFPI Sweden – Guld & Platina – År 2003" (PDF). IFPI (kwa Swedish). 15 Januari 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-01-01. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Swiss Certifications – Awards 2002". SwissCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.
- ↑ "The BPI database"
- ↑ "RIAA – Gold & Platinum". RIAA. 14 Januari 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2009-04-18.