iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: http://sw.wikipedia.org/wiki/Muziki_wa_pop
Muziki wa pop - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Muziki wa pop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Muziki wa pop au pop ni kifupi cha namna ya kuandika popular music au muziki mashuhuri. Muziki wa pop una hesabiwa kama mmoja kati ya muziki unaosikilizwa sana, kununuliwa sana, na kuchaguliwa sana katika matamasha maalumu. Staili za muziki wa pop ya miaka ya 2000 (leo hii) inajumlisha muzikiwa rock, hip hop, na pop punk.

Waimbaji na mabendi yanayopiga muziki wa pop

[hariri | hariri chanzo]

Hii ni orodha ya baadhi ya waimbaji au mabendi yaliyoanza kuimba muziki wa pop. Baadhi yao ni: