iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: http://sw.wikipedia.org/wiki/Mto_Rutanda
Mto Rutanda - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mto Rutanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Rutanda unapatikana katika Mkoa wa Magharibi nchini Uganda, kwenye ziwa Dweru.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]