Karne ya 4
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 2 |
Karne ya 3 |
Karne ya 4
| Karne ya 5
| Karne ya 6
| ►
Miaka ya 300 |
Miaka ya 310 |
Miaka ya 320 |
Miaka ya 330 |
Miaka ya 340 |
Miaka ya 350 |
Miaka ya 360 |
Miaka ya 370 |
Miaka ya 380 |
Miaka ya 390
Karne ya 4 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 301 na 400. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 301 na kuishia 31 Desemba 400. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Karne: Karne ya 3 | Karne ya 4 | Karne ya 5 |
Miongo na miaka |
Miaka ya 300 | 300 301 302 303 304 305 306 307 308 309 |
Miaka ya 310 | 310 311 312 313 314 315 316 317 318 319 |
Miaka ya 320 | 320 321 322 323 324 325 326 327 328 329 |
Miaka ya 330 | 330 331 332 333 334 335 336 337 338 339 |
Miaka ya 340 | 340 341 342 343 344 345 346 347 348 349 |
Miaka ya 350 | 350 351 352 353 354 355 356 357 358 359 |
Miaka ya 360 | 360 361 362 363 364 365 366 367 368 369 |
Miaka ya 370 | 370 371 372 373 374 375 376 377 378 379 |
Miaka ya 380 | 380 381 382 383 384 385 386 387 388 389 |
Miaka ya 390 | 390 391 392 393 394 395 396 397 398 399 |
- 301: Armenia ni taifa la kwanza kupokea Ukristo jumla
- 325: Mtaguso mkuu wa kwanza unafanyika Nisea (katika Uturuki wa leo)
- 325-328: Dola la Axum (Ethiopia ya leo) linapokea Ukristo
- 350 hivi: Dola la Axum linateka ufalme wa Kush
- 378: Wagoti wanashinda Dola la Roma huko Adrianopoli na kumuua Kaisari Valens
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Agostino wa Hippo (354-430), askofu na babu wa Kanisa
- Ambrosi, askofu na babu wa Kanisa
- Antoni wa Misri, alianzisha umonaki katika Misri
- Efrem wa Syria (306-373), shemasi na babu wa Kanisa huko Mesopotamia
- Jeromu, padri na babu wa Kanisa
- Kaisari Diocletianus (245-313) dhalimu mkuu wa Ukristo (284-305)
- Konstantino Mkuu (280 - 337), Kaisari wa Roma (306-337) aliruhusu Ukristo
- Theodosius I (378-395), Kaisari alifanya Kanisa Katoliki kuwa dini rasmi ya Dola la Roma
- Yohane Krisostomo, askofu na babu wa Kanisa
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 4 kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |