Kakamega
Mandhari
Mji wa Kakamega | |
Mahali pa mji wa Kakamega katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°17′0″N 34°45′0″E / 0.28333°N 34.75000°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Kakamega |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 91,768 |
Kakamega ni mji ulio makao makuu ya kaunti ya Kakamega nchini Kenya.
Wakazi walikuwa 91,768 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1]. Wenyeji ni hasa Waluhya.
Kakamega iko takriban kilomita 100 kaskazini kwa Kisumu.
Tangu mwaka 2006 chuo cha ufundi Kakamega kilipandishwa cheo kuwa Chuo Kikuu cha Malinde Musiro (Masinde Muliro University of Science and Technology).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kakamega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |