iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.
iBet uBet web content aggregator. Adding the entire web to your favor.



Link to original content: http://sw.wikipedia.org/wiki/Alfredo_Di_Stefano
Alfredo Di Stefano - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Alfredo Di Stefano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfredo Di Stefano
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaArgentina, Hispania, Kolombia Hariri
Nchi anayoitumikiaArgentina, Hispania, Kolombia Hariri
Jina la kuzaliwaAlfredo Stéfano Di Stéfano Laulhé Hariri
Jina halisiAlfredo Hariri
Jina la familiaDi Stefano Hariri
PseudonymLa Saeta Rubia Hariri
Tarehe ya kuzaliwa4 Julai 1926 Hariri
Mahali alipozaliwaBuenos Aires Hariri
Tarehe ya kifo7 Julai 2014 Hariri
Mahali alipofarikiMadrid Hariri
Chanzo cha kifonatural causes Hariri
Sababu ya kifoShtuko la moyo Hariri
Sehemu ya kuzikwaAlmudena Cemetery Hariri
MwenziSara Freites Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania Hariri
Kaziassociation football player, association football manager Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Muda wa kazi15 Julai 1945 Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Ameshiriki1947 South American Championship Hariri
Alfredo Di Stefano.
Picha yake nyingine.

Alfredo Di Stefano (4 Julai 1926 - 7 Julai 2014) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Argentina na timu ya klabu ya Real Madrid aliyecheza katika nafasi ya mshambuliaji.

Alifanikiwa kuchukua tuzo ya Ballon d'Or mara mbili mwaka 1957 na mwaka 1959, pia alipigwa kura na kuwa mtu wa nne katika kura za mchezaji bora wa karne ya 20 nyuma ya Pele, Diego Maradona na Johan Cruyff.

Alifariki kwa ugonjwa wa moyo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfredo Di Stefano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.