14 Mei
Mandhari
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Mei ni siku ya 134 ya mwaka (ya 135 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 231.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1643 - Louis XIV anakuwa mfalme wa Ufaransa akiwa na umri wa miaka minne tu
- 1811 - Nchi ya Paraguay inatangaza uhuru wake kutoka Hispania
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1928 - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
- 1944 - George Lucas, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 1952 - David Byrne, mwanamuziki wa Marekani
- 1968 - Ranko Matasović, mtaalamu wa isimu kutoka Kroatia
- 1984 - Mark Zuckerberg, mwanzilishi mwenza wa Facebook
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 649 - Papa Theodor I
- 964 - Papa Yohane XII
- 1863 - Mtakatifu Mikaeli Garikoitz, padri wa Ufaransa
- 1940 - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 1995 - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 2000 - Karl Shapiro, mshairi kutoka Marekani
- 2006 - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984
- 2006 - Stanley Kunitz, mshairi kutoka Marekani
- 2015 - Franz Wright, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu za watakatifu Mtume Matia, Masimo wa Asia, Ponsyo wa Cimiez, Vikta na Korona, Isidori wa Kio, Felisi na Fortunati, Yusta na Eredina, Abrunkulo wa Langres, Galus I wa Clermont, Kartaki wa Lismore, Erembati, Theodora Guerin, Mikaeli Garikoitz, Maria Dominika Mazzarello n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 17 Februari 2007 at the Wayback Machine.
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |