Karne ya 17
karne
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 15 |
Karne ya 16 |
Karne ya 17
| Karne ya 18
| Karne ya 19
| ►
Miaka ya 1600 |
Miaka ya 1610 |
Miaka ya 1620 |
Miaka ya 1630 |
Miaka ya 1640 |
Miaka ya 1650 |
Miaka ya 1660 |
Miaka ya 1670 |
Miaka ya 1680 |
Miaka ya 1690
Karne ya 17 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1601 hadi 1700. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1601 na kuishia 31 Desemba 1700. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.
Watu na matukio
hariri- Mapinduzi katika sayansi
- Uenea msimamo wa kutaka kufuata akili tu, si imani ya dini
- Nchi nyingi za Ulaya zinatawaliwa na wafalme bila ya demokrasia
- René Descartes (La Sibyllière, Indre-et-Loire, 1596 - Stockholm, 1650), Mfaransa aliyeshughulikia falsafa na hisabati
- Galileo Galilei (Pisa, 1564 - Arcetri, 1642), Mwitalia mwanzilishi wa fizikia ya kisasa
- Isaac Newton (Woolsthorpe, Lincolnshire, 1642 - London, 1727), Mwingereza mtaalamu wa fizikia anagundua sheria ya mvutano
- Blaise Pascal (Clermont-Ferrand, 1623 - Paris, 1662), Mfaransa aliyejihusisha na teolojia, falsafa, hisabati na fizikia
- Johann Sebastian Bach (Eisenach 1685-Leipzig 1750), Mjerumani mwanamuziki