Mkoa wa Ardahan
Mandhari
Mkoa wa Ardahan | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Ardahan nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 5,661 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 119,172 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 75 |
Kodi ya eneo: | 0478 |
Tovuti ya Gavana | http://www.ardahan.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/ardahan |
Mkoa wa Ardahan ni mkoa uliopo kaskazini-mashariki ya mbali huko nchini Uturuki. Mkoa huu upo mwishoni kabisa mwa nchi, ambapo kuna mpaka wa Uturuki na nchi ya Georgia .
Mji mkuu wake ni Ardahan.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Ardahan umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ardahan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |